Sunday, 14 May 2017

WAFANYIWA MAOMBI AIR PORT,KIA.

Majeruhi wa ajali ya basi Arusha,Karatu wafanyiwa maombi wakiwa katika uwanja wa ndege wa KIA wakiwa katika hatua za awali kuelekea nchini Marekani kwa ajili ya matibabu.
Na:Esko Donald.

1 comment:

  1. MUNGU ndo daktari wetu mkuu,,,,akawape ujuzi wauguzi.. Wapete afya njemaa?!!!!

    ReplyDelete

JIFUNZE KUPITIA HADITHI.

…JESCA…… Episode 4 Na:Esko Donald Esko Wa Simulizi 'EWS' Whatsapp:0675730796 Ilipoishia… Kwa muda huo watu wote walikuwa wapo ...