Sunday, 7 May 2017

BREAKING NEWS:DAMU YAMWAGIKA MKOANI TANGA.

Mkoani Tanga,katika wilaya ya Muheza,Lusanga,kumetokea ajali mbaya iliyohusisha basi aina ya Coaster likitokea Tanga kuelekea Wilayani Korogwe limegonga Lori kwa nyuma na kusababisha vifo.Taarifa za awali zinasema watu wanne wamefariki hapo hapo ila waokoaji bado walikuwa wanaendelea na zoezi la uokoaji hivyo kuna uwezekano wa vifo kuongezeka.Maafa haya yametokea usiku huu.Taarifa zaidi nitakujuza.
Na:Esko Donald.

1 comment:

  1. TANZANIA tusimame imara tumuombe MUNGU atusaidie hii si hali y kawaida waefeso 6:10-14

    ReplyDelete

JIFUNZE KUPITIA HADITHI.

…JESCA…… Episode 4 Na:Esko Donald Esko Wa Simulizi 'EWS' Whatsapp:0675730796 Ilipoishia… Kwa muda huo watu wote walikuwa wapo ...