Mahakama yafuta matokeo ya uchaguzi wa urais Kenya.Mahakama ya Juu nchini Kenya imefutilia mbali matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika mapema mwezi uliopita katika uamuzi kuhusu kesi iliwasilishwa na muungano wa upinzani National Super Alliance.
Na:Esko Donald.
Vipi tena kulikoni,,, na itakuaje labda
ReplyDeleteInakuaje ndugu,,,, kimetokea nini
ReplyDelete