Ile kolabo kali iliyowahusisha wakali wawili,yaani Diamond Platinum kutoka Tanzania na Patoranking kutoka Nigeria ni leo.Muda wowote kuanzia sasa nyimbo hiyo itakuwa hewani,kaa mkao kula shabiki mpenda mziki mzuri. Na:Esko Donald.
No comments:
Post a Comment