Wanafunzi wapatao 22 wa ya Shule ya Sekondari Mirambo ya Tabora wamepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka 12 kwa kudaiwa kufanya uvamizi na kuwajeruhi watu 6. Na:Esko Donald.
No comments:
Post a Comment