Kama ni shabiki wa soka la Tanzania hususani Dar es salaam Young Africans wana Jangwani najua utakuwa umfahamu vizuri shabiki maarufu wa Yanga ambaye amekuwa na utamaduni wa kuifuata timu mahali popote inapokwenda (Ally Yanga) .
Taarifa ya kusikitisha kuhusiana na
Ally Yanga inasema kuwa amefariki dunia katika ajali ya gari huko mkoani Dodoma eneo la Ipogolo.Ally Yanga imeripotiwa kuwa alikuwa katika mbio za Mwenge.
Na:Esko Donald.
Instagram@Esko Donald
Facebook@Esko Donald
No comments:
Post a Comment